Zikiwa zimebaki siku chache kuelekea mwaka mpya, tazama jinsi mji mkuu wa Urusi Moscow ulivyopambwa kwa taa na mapambo mbalimbali.

Urusi inaingia mwaka wa tano wa kile wanachokiita “operesheni maalum ya kijeshi” nchini Ukraine, huku wananchi wakiendelea kutumaini amani “duniani kote.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *