#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mheshimiwa Geofrey Timoth, ametembelea Kata ya Mbweni ambapo amekutana na wafanyabiashara wa Soko la Samaki na kuahidi kuwa ujenzi wa soko hilo utaanza taratibu zitakapokamilika.

Akizungumza na wafanyabiashara hao, Mheshimiwa Timoth amesema mchoro wa ujenzi wa soko tayari umekamilika, hivyo muda si mrefu mkandarasi ataingia eneo la mradi na kuanza kazi. Amesisitiza kuwa ujenzi huo utasaidia kuboresha mazingira ya biashara, kuongeza usalama na kukuza kipato cha wafanyabiashara pamoja na mapato ya Serikali.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *