#HABARI: Serikali imeanza mpango wa kuunganisha kitambulisho cha Taifa na Huduma nyingine za kiserikali ikiwemo Bima ya Afya,Leseni ya udereva na Masuala ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ili kuepusha utitiri wa vitambulisho pale mwananchi anapohitaji huduma mbalimbali.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene akizungumza katika Kikao Kazi cha Tathmini ya Utekelezaji wa Ahadi za siku Mia Moja za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kinachofanyika mkoani Pwani chini ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge, Wakuu wa Wilaya na Viongozi wengine wa juu wa ngazi ya mkoa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.