#HABARI: Wakazi wa Mkoa wa Pwani, wamesema licha ya utekelezaji wa ahadi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya siku 100, bado wanaiomba Serikali kuongeza juhudi katika ujenzi wa barabara mbalimbali na kuharakisha upanuzi wa barabara ya Kibaha kuelekea Morogoro ili kupunguza msongamano na foleni za magari ambazo zimekuwa kero kwa shughuli za kiuchumi na kijamii.

Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *