Jumapili hii katika dimba la KMC Complex itapigwa Kariakoo derby ya mashabiki.
mashabiki wa Yanga SC dhidi ya mashabiki wa Simba SC.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
#SisiNiSoka #Azamtvsports