Marekani imetangaa kuanzisha shirika jipya la kutoa misaada ya huduma za afya duniani la ‘America First Global Health Services’ likitajwa kuwa mbadala wa USAID lakini AFGHS likiweka sharti la Marekani kunufaishwa kwa namna moja ama nyingine na nchi itakayopokea msaada kutoka shirika hilo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *