Matumizi ya pesa mtandao maarufu zaidi kwa jina la ‘Pesa kwenye simu’ limeendelea kuwa mhimili mkubwa wa ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja na mataifa kwa ujumla.
Aurelia Gabriel ameangazia namna mfumo huo wa kiuchumi unavyoendelea kuchagiza mafanikio zaidi hususani unapojumuisha matumizi ya intaneti.
Mhariri @moseskwindi