Nusu fainali ya pili EA Super Cup inapigwa leo Ijumaa
Saa 4:00 usiku, Bologna kumenyana na Inter Milan.
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports3HD, na kutangazwa kwa lugha ya Kiswahili.
Je, ni Bologna ama Inter nani kuungana na Napoli kwenye hatua ya fainali?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#Bologna #InterMilan #EASuperCup