Wakazi wa kata za Kiwanja cha Ndege na Miyuji jijini Dodoma wameeleza kuchoshwa na ahadi za mara kwa mara za ujenzi wa kivuko cha watembea kwa miguu kinachounganisha mitaa yao huku ujenzi huo ukishindwa kufanyika tangu kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi Machi mwaka huu.
George Mbara amezungumza na wakazi hao.
Mhariri @moseskwindi