#HABARI: Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro, kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri Ardhini (LATRA), imewafungia leseni Madereva 14 kwa makosa mbalimbali, ikiwemo Mwendokasi huku mmoja wa basi la abiria akikamatwa akiwa na ulevi wa hali ya juu katika Operesheni Maalum ya ukaguzi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania