#HABARI: Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imefanya ukaguzi kwenye maduka mbalimbali ya Pembejeo Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma na kubaini baadhi ya Wafanyabiashara kukiuka utaratibu na kuuza mbegu za Ruzuku kwa wakulima nje ya mfumo uliowekwa na serikali.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania