#HABARI: Wafugaji katika Kata ya Naberera wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wameachana na mila potofu za ukeketaji wa watoto wa kike na ndoa za utotoni, zinazoathiri Afya na Ustawi wa wao na badala yake wameanza kuwapa Kipaumbele kwenye Masuala ya Elimu, ili waweze kujikwamua kiuchumi na kupunguza utegemezi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania