#HABARI: Watumishi wa Sekta ya Afya mkoani Rukwa, wamehimizwa kuendelea kutoa elimu na hamasa kwa wananchi, ili kuongeza uelewa na ushiriki wao katika mpango wa Bima ya Afya kwa Wote, unaolenga kuhakikisha kila Mwananchi anapata huduma bora za Afya bila vikwazo vya kifedha.

Akiongea kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Katibu Tawala mkoani humo, Ndugu Msalika Makungu, kupitia kikao cha Mfuko wa Bima ya Taifa, kilichowakutanisha Wataalam wa Afya, kutoka vituo mbalimbali vya kutolea huduma mkoani humo, lengo likiwa ni kujadili namna bora ya kuimarisha utekelezaji wa mpango huo ngazi ya jamii.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *