#HABARI: Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba amesema ameridhishwa na kazi inayofanyika kwenye ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa mkoani Lindi, ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 90.
Amesema Ujenzi wa Bandari hiyo ya Uvuvi ni Mwanzo wa safari ya miradi mikubwa iliyoandikwa kwenye DIRA 2050, na kwamba kukamilika kwa mradi huo, kutasaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza kipato na kubadili maisha ya Watanzania, pamoja na kuongeza pato la Taifa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania