Kufuatia kuungua kwa maduka manne ya bidhaa mbalimbali kwenye mtaa wa Magila, Kariakoo – Dar es Salaam, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limesema limeanza uchunguzi wa kina wa kubaini chanzo cha moto huo baada ya kufanikiwa kuudhibiti usisambae na kusababisha madhara zaidi.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *