#MICHEZO: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kuongoza Mbio za hisani zitakazofanyika Desemba 21, 2025, katika New Amani Complex, mbio hizo zitahusisha umbali wa kilometa 5, 10 na 21, zikiwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kugharamia matibabu ya bure kwa watoto wanaozaliwa na tatizo la mdomo Sungura.

Tukio hili linalenga kuhamasisha jamii kushiriki katika kusaidia watoto hao kupata matibabu bora na kurejesha tabasamu katika maisha yao.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *