Umoja wa Mataifa umekiongezea kikosi cha ulinzi wa amani cha MONUSCO miezi 12 ya kuendelea na operesheni katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia hali ya kutotengemaa kwa usalama katika maeneo mbalimbali nchini humo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *