Unafahamu kuwa miaka 10 iliyopita Tanzania ilikuwa na mhandisi wa ndege mwanamke pekee mwenye ithibati ya kimataifa
Estebella Malisa amefanya mahojiano maalumu na mhandisi huyo, Editha Kisamo ambaye kwa sasa ameanza ushirikiano na Chuo cha Usafirishaji nchini (NIT) ili kuhakikisha alipofika yeye kunafikiwa na wahandisi wachanga wenye ndoto kubwa.
Mhariri @moseskwindi