Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo chini ya wizara hiyo kufanya utafiti na kujua chanzo na kupata suluhisho la malalamiko ya wananchi ya ‘kuonewa’ sambamba na malalamiko ya rushwa ikiwemo kwenye upatikanaji wa dhamana kwa wanaoshikiliwa na vyombo hivyo.
Mhariri @moseskwindi