Zaidi ya wakulima 2,600 wa alizeti mkoani Geita wanatarajiwa kuzalisha zaidi ya Shilingi Bilioni 20 zitakazotokana na uzalishaji wa tani 20,000 katika msimu huu wa kilimo.

Malengo hayo yamewekwa baada ya mkoa huo kupewa tani 94 za mbegu kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA).

Imeandaliwa na Ester Sumira.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *