“Zipo vita za Kibiashara, zipo vita za Kiuchumi, kwa sababu rasilimali zetu zipo ambazo wengine hawana, na mimi hii nitaendelea kuisema hata wakereke, ndio…Mungu aliumba kila nchi akaipa rasilimali zake, rasilimali za Tanzania ni za Watanzania, rasilimali zetu lazima tuzilinde kwa wivu kwa sababu hizo ndizo zitakazo somesha Watoto wetu, hata kama watu wanaungana kutunandika andika mitandaoni, wajue na wenyewe wana nchi yao na hii ni nchi yetu na sisi tunawashauri wawe na adabu wanapoiandika nchi iliyo huru” Dkt.Mwigulu Nchemba -Waziri Mkuu wa Tanzania.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
“