21 Desemba 2025

Rais Vladmir Putin amesema yuko tayari kukaa kwenye meza ya mazungumzo na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron kujadili mgogoro wa Ukraine // Watu 10 wameuwawa Kaskazini mwa jimbo la Darfur,nchini Sudan // Na michuano ya soka ya kombe la mataifa ya Afrika,AFCON 2025 inatifuwa vumbi saa chache kutoka sasa huko nchini Morocco.

https://p.dw.com/p/55mJP

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *