Urusi imesema hakuna uhakika wa kupatikana makubaliano ya amani katika mgogoro wa Ukraine // Israel imeidhinisha ujenzi wa makaazi mapya ya walowezi wa kiyahudi katika ardhi ya Ukingo wa Magharibi // Na michuano ya mataifa ya kombe la mataifa ya Afrika kuanza kutifua vumbi hivi leo huko nchini Morocco.