#HABARI: Dereva wa gari ya Serikali amekamatwa akiwa na kiwango cha juu cha ulevi huku akidaiwa kutaka kusababisha ajali, dereva huyo amekamatwa kupitia ukaguzi wa mabasi ya mikoani ukaguzi ulioendana pamoja na kuwapima kuwango cha ulevi madereva.
Ukaguzi huo unaendeshwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, mkoani Kilimanjaro, ikiongozwa na Kamanda wa Kikosi hicho ACP Nassoro Sisiwaya, kwa kushirikiana na Maafisa wa LATRA.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.