#HABARI: Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesisitiza mradi wa ujenzi wa bandari ya kuifadhi na kusafirisha mizigo michafu, ikiwemo makaa ya mawe na saruji, kukamilika kwa wakati ili wananchi wa Manispaa ya Mtwara, waondokane na athari ya vumbi la makaa ya mawe yanayoweza kuwaathiri kiafya na kimazingira.

Prof. Mbarawa ameyasema hayo wakati akizungumza mara baada ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa bandari hiyo katika Eneo la Kisiwa Mgao Mtwara Vijijini, uliyofikia 25%.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *