
Mabalozi wa Uturuki katika nchi za Afrika watembelea Jumba la Afrika
Mabalozi wa Uturuki barani Afrika walikusanyika mjini Ankara kwa ajili ya Kongamano la Mabalozi, na kutembelea Jumba la Sanaa za Mikono na Utamaduni la Kiafrika, ambalo lilianzishwa chini ya uangalizi wa mke wa Rais Recep Tayyip Erdoğan Emine Erdoğan