Kisa mashabiki, Mlandege yatozwa faini Sh1 milioni MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Mlandege, imetozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la mashabiki wa timu hiyo kufanya vurugu kwa kurusha chupa uwanjani wakati mechi ikiendelea. Post navigation Barker ashusha nondo tatu Msimbazi Mangungu afunguka ishu ya mgogoro Simba