Ohooo leo Tony mapema sana ofisini kwa Wendy, hii drama hapo sio ya kukosa 😅 Suzy bado anashindwa kuamua cha kufanya na Chichi nj kimbilio lake japo amekuwa na mambo mengi yanayomzonga siku hizi.
Usipitwe na #NomaSeries leo kuanzia saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD