
Mali na Zambia wanamenyana Desemba 22 kwa mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya AFCON 2025 katika Uwanja wa Mohammed V huko Casablanca. Mechi imeanza saa mchana (UTC), na mechi itarushwa moja kwa moja kwenye RFI.
Imechapishwa:
Dakika 1 Wakati wa kusoma
Matangazo ya kibiashara
Kipindi cha kwanza cha mchezo kimemalizika, huku timu zote mbili zikitoka sare ya bila kufungana.
Jana Jumapili Disemba 21, Morocco waliwaburuza Comoro kwa mabao 2-0 katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya AFCON 2025.
Fuatilia mechi hii hadi dakika ya mwisho, tutakujuza mengi…