Baada ya rubaini manufaa makubwa yanayopatikana kwa wananchi wa mkoa wa Kagera hususani kwa vijana wanaojishughulisha na kilimo cha kahawa, serikali ya mkoa huo imetenga ekari 2,000 kwa ajili ya kilimo hicho sambamba na kuandaa mkakati wa kilimo cha umwagiliaji ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa huo, Fatma Mwasa alipozungumza na Joyce Mwakalinga.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *