#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi, amesema mkoa wake unakabiliwa na changamoto ya kusuasua kwa ujenzi wa barabara za kimkakati kwa kiwango cha lami, zikiwamo zile zinazounganisha Wilaya na Mkoa na inayounganisha mkoa wa Arusha na Mara, pamoja na uwanja wa ndege wa Mugumu, hali ambayo inatajwa kukwamishwa kufunguka kwa uchumi wa mkoa huo na kuomba Serikali Kuu kuweka nguvu katika miradi hiyo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.