#HABARI: Wakulima wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wanatarajia kuongeza uzalishaji katika mazao ya kilimo, baada ya kuacha kutumia jembe la mkono na kuhamia katika matrekta madogo aina ya Kubota, ambayo wamekopeshwa kwa mashariti nafuu na Jumuia ya Hisa na Maendeleo Igunga.

Wakulima hao wameonyesha furaha yao baada ya kupokea matrekta hayo, ambayo yametolewa na kampuni ya Agricom kwa udhamini wa Jumuia ya Hisa na Maendeleo Igunga, ambapo wamesema wanamatumaini makubwa ya kuongeza uzalishaji.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *