Haya Maega ana kazi ya kujitetea alivyofumwa na Sandra. Sheiza ajifanya ameumia ili awe karibu na Radhia.
Mfaume bado anaendelea kuwa mwiba kwa wote anaowataka wamsogeze kwenye hazina.
Usikose #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD