Jenerali mkuu wa Urusi auawa katika shambulio la gari Moscow
Jenerali mwandamizi wa jeshi la Urusi ameuawa katika shambulio la bomu la gari jijini Moscow, huku wachunguzi wakifuatilia nadharia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na uwezekano wa kuhusika kwa idara za kijasusi za Ukraine.