Mji wa Moshi umeanz kuchukua sifa za jiji la Dar es salaam na hii ni kutokana na wenyeji wake wanaofanya shughuli zao Katika maeneo mengine ya nchi likiwemo jiji la dar es salaam kurejea makwao kwa ajili ya siku kuu za mwisho wa mwaka.

Dixon Busagaga amefanya uchunguzi mdogo kwa ajili ya Sentro ya Clouds Tv na hapa amekuaja na majibu ya uchungzui huo.
Na@dixonbusagaga
#CloudsDigitalUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *