#TANZIA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.