“Zipo huduma za kijamii ambazo zilikuwepo na kuna maeneo ambayo watu wanakwenda kwenye mapumziko. Kuna kufunga shule. Kuna watu wanauliza mbona watoto wanafunga shule mwezi wa Sita na Desemba Mbona mwezi wa Sita hauathiri wazazi kama ilivyo mwezi Desemba Mwezi wa Kumi na Mbili ni round about wengi wanaingia kwenye mzunguko wa mambo mengi na mwezi wa Sita ni Njia panda ambapo unachagua tu njia ya kupita”-John Ambrose – Mwanasaikolojia @johnsaikolojia

#SentroYaCloudstv
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *