AFCON 2025
Michuano ya AFCON inazidi kushika kasi nchini Morocco, mechi nne kupigwa leo, ikiwemo Taifa Stars ambao watacheza dhidi ya Nigeria.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michuano hii mbashara mwanzo mwisho kupitia AzamSports1HD.
#AFCON2025 #Azamtvsports