AFCON 2025 – “Afe beki, Afe kipa, kombe ni la Tanzania”

Mashabiki wa soka kutoka Tanzania wanaohudhuria AFCON 2025 nchini Morocco, wamejinasibu kuwa Taifa Stars itarejea na kombe

tokea dakika 44

Mashabiki wa soka kutoka Tanzania wanaohudhuria michuano ya AFCON 2025 inayoendelea nchini Morocco, wamejinasibu kuwa timu yao ya taifa, maarufu kama ‘Taifa Stars’ itarejea na kombe, huku ikitupa karata yake ya kwanza dhidi ya Nigeria, Disemba 23, 2025.Mchezo huo utaanza saa mbili na nusu usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *