#HABARI: Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kuingia Sikukuu ya Krismasi, ITV Digital imezunguka katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Moshi, Ili kujionea hali ya usafiri katika mji huo ambayo imekuwa changamoto kubwa kufuatia ongezeko la wageni na wakazi wanaosafiri kwenda maeneo mbalimbali ya Mkoa huo kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka pamoja na familia zao.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *