#HABARI: Wakazi wa Kata ya Viziwaziwa, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, wameiomba Serikali kutatua kero ya upatikanaji ya huduma ya maji safi na salama ambayo imekuwa sugu kwa zaidi ya miaka miwili licha ya uwepo wa miundombinu ya DAWASA huku wakitumiwa bili hewa pasipo kupata huduma hiyo.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *