#HABARI: Wizara ya Viwanda na Biashara, imekitaka Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC), kuendelea kudhibiti uingizwaji wa zana za kilimo zisizokua na ubora nchini kwa kuzihakiki kabla hazijaingia ili kuhakikisha wakulima wanapata zana bora na kuzalisha kwa tija hivyo kunufaika kiuchumi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.