KILA LA HERI TAIFA STARS
Leo, Taifa Stars itakuwa dimbani ikicheza mechi yake ya kwanza AFCON 2025, dhidi ya Super Eagles, Nigeria,
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 2:30 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#AFCON2025 #Azamtvsports