Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Katavi, Leopard Fungu amwataka maafisa usafirishaji maarufu boda boda, kutokuwa chanzo cha ajali barabarani kutokana na mtindo wao wa siku za karibuni wa kupakiza abiria zaidi ya mmoja kwenye pikipiki.

Je, waendesha boda boda wanakiuka sheria kwa makusudi au ni shinikizo la kiuchumi?

Adhabu kali zitasaidia kupunguza ajali au elimu ya usalama barabarani inahitajika zaidi?

Tuandikie maoni yako na yatasomwa kwenye taarifa ya #AdhuhuriLive kuanzia saa 7.00 mchana.

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *