Ulanguzi wa tiketi za usafiri wa mikoani kutoka Dar es Salaam umetajwa kuendelea kushamiri miongoni mwa abiria huku Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini (LATRA) ikirusha lawama kwa abiria kwa kutotumia mifumo ya mtandaoni katika kukata tiketi.
Imeandaliwa na Tumie Omary
Mhariri @moseskwindi