Yes kila hatua Dua kwa Timu yetu ya Taifa Taifa Stars inapotupa karata yake leo kuianza michuano ya Afcon pale 🇲🇦

Tulianza na Mungu kwenye kufuzu na tutamaliza na Mungu kwenye michuano hawa ndio Nyota wetu wa Taifa kwenye Soka fahari ya Tanzania, kwao kila hatua Dua.

Kabla ya kukutana kuwashangalia Nyota wetu tunaanza na Dua ifikapo 1:30 🕜 Usiku Dua ambayo itaongozwa na makachero wa #SentroCloudsTv.

#SentroCloudsTv
#Clouds26Nyoosha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *