#HABARI: Mkuu wa Kitengo cha Usalama barabarani Wilaya ya Shinyanga ASP Zainabu Ally Mangala, amewataka madereva na watumiaji wa barabara kuzingatia sheria za usalama barabarani, katika msimu huu wa sikukuu za mwisho na mwanzo wa mwaka.

Kwaupande wa wananchi nao wamelitaka Jeshi la Polisi kuongeza umakini wa kudhibiti ajali za barabarani, pamoja na vitendo vya uhalifu katika kipindi hiki cha sikukuu Krismasi na Mwaka mpya

Powered by #MCHEZOSUPA


JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *