#HABARI: Wakazi wa Manispaa ya Singida kuelekea sikukuu za mwisho za krismasi na Mwaka mpya, wamelalamikia bei ya Kitoweo cha kuku wa kienyeji kupanda maradufu kutoka shilingi 18,000 hadi kufikia shilingi 30,000 huku bei ya nyama, samaki na bidhaa zingine zikibakia kwenye bei ya awali
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania