Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imetoa hundi ya shilingi milioni 485,765,000 kwa vikundi 15 vya wanawake, vijana na walemavu ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango mkakati wa Serikali kuyafikia makundi hayo kwa kutoa 10% ya mapato yake.

#AzamTVUpdates
✍ Kakuru Msimu
Mhariri | @claud_jm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *