Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameilaumu Hamas kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza. Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa “watu wenye nia njema” kusitisha mapigano kwa saa 24 katika maeneo yote ya vita duniani wakati wa sherehe za Krisimasi. Urusi kuwasilisha majibu yake kwa mpango wa amani wa Ukraine.